Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Chuo cha VETA cha Shinyanga akiwa katika ziara ya mkoa huo, Februari 26, 2012. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mafunzo ya ukatibu muhtasi wakati alipozindua Chuo cha VETA cha Shinyanga akiwa katika ziara ya mkoa huo Februari 26, 2012 .(
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mafunzo ya ukatibu muhtasi wakati alipozindua Chuo cha VETA cha Shinyanga akiwa katika ziara ya mkoa huo Februari 26, 2012
Wasanii wa ngoma ya Kisukuma ya Buyeyewakicheza ngoma hiyo wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shycom Mjini Shinyanga, Februari 26,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mheshimiwa uwe unawatuza japo kidogo jamaa kama hawa, wamejitutumua mno kukufurahisha na kukufundisha mila.
ReplyDeleteHilo joka hatari kweli(Python?) linaua kwa kukaba kwa kujizungusha.
ReplyDeleteDavid V