Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akitoa maelezo ya kazi baada ya kukagua chanzo cha maji - Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugezi wa Manispaa ya Kigoma Bw. Protus Kato juu ya jitihada zinazofanywa na Manispaa hiyo kukusanya taka katika soko la Nazareti. Waziri Huvisa alifanya ziara ya kushtukiza katika Manispaa hiyo kuangalia hifadhi ya Mazingira. (Picha na Ali Meja)
Picha hazionekani!
ReplyDelete