Wachezaji wa Yanga wakishangilia wao wa bao 1-0 hii ya Ruvu Shooting Stars jioni hii Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
 Mshabiki wa Yanga

 Mshambuliaji wa Yanga, Davies Mwape akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting, Idd Nyambiso (kushoto) na Bakari Japhari wakati wa mchezo wao huo
 Mshabiki wa Ruvu Shooting Stars
Mshabiki wa Yanga furahani.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mimi Yanga damu ila Zamalek ndiyo watakuwa kipimo halisi cha timu yetu.Hatutaki mpira wa magazetini.Tunataka Vitendo.Papic anaiwazia Zamalek

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...