Mke wa mmiliki wa basi la dala dala akilia kwa uchungu kuwa gari hiyo haijamaliza hata wiki tangu wanunue inapata ajali analia akisema sasa umaskini umeingia katika familia yao
Habari kamili tutawaletea kesho asubuhi
(Picha kwa hisani ya Mbeya yetu)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo lazima kuna mambo ya overtake.Haiwezekani gari zigongane uso kwa uso kama kila dereva amebana upande wake.Mungu awasaidie majeruhi wapone haraka,nawapa pole familia ya huyo dereva wa 2.8
ReplyDeleteDavid V
kweli watu wameweka mali mbele kuliko maisha . yaani ajali imetokea roho imepotea ata haimuumi ati analilia gari. Ninavyoamini kama mungu hajataka uwe tajiri ata iwe vipi huwi na kama utajiri basi utakua tu tajiri ata kitokee kitu gani.
ReplyDeleteAllah atatufumbua macho sisi wanadamu.
amin
Mama kwa kweli anasikitisha amerudi kwenye umasikini. Lakini yote ni mipango ya Mungu. Amshukuru Mungu na kujirudi pia kwani la kwake hilo mbona ni dogo kuliko la wale/yule aliyepoteza maisha na familia yake? Mali atapata nyingine, uhai ni wapi unapatikana?
ReplyDeleteNimechoka na Wabongo wenzangu kumsingizia Mungu kwa kila ajali inayotokea. Eti ulikuwa ni mpango wa Mungu kwa ajali hii. Tuanze kuwa Responsible na kujilaumu wenyewe kwa uzembe wetu. Hivi vifo haviletwi na Mungu bana.
ReplyDeleteHapa msimlaumu huyu mama. Habari za waandishi wengi wa Kitanzania zinapotosha. Hapa ni mwandishi kafikiria tu kwamba mama atakuwa anaweza pesa yake. Lakini nijuavyo mimi, vyombo vya usafiri kama magari vimekatiwa bima. Kwa hiyo inapotokea ajali mbaya ikawa gari aliwezi kufanyiwa matengenezo, kampuni alikoweka bima wanampatia pesa kulingana na thamani ya gari kabla ya kupata ajali. Of course, kiasi anacholipwa ni: buying price 'minus' depreciation value. Chonde chonde, waandishi muache kupotosha!
ReplyDeleteMama analilia gari badala ya maisha ya watu! Kweli ubinadamu hakuna. Gari utanunua lingine lakini roho ya mtu anazaliwa nayo na hakuna aliyezaliwa mara ya pili.
ReplyDeleteHivi huu ujinga gani?
ReplyDeleteKuwa na gari kwani ni utajiri?
Na kutokuwa na gari je inamaanisha umasikini?
Mbona wabongo tunafikira potofu kiasi hiki?
daladala ni mtaji wa kuingiza pesa ambazo zitakuwezesha kuyamudu maisha vizuriyawe na unafuu kuliko ambaye hana kipato, kwa lugha nyingine utajiri. wewe mdau hapo juu ndo mwenye fikira finyu, use your head to think!
ReplyDeletei hope alilikatia bima....otherwise mbombo jilipo!
Kama kila kitu ni mapenzi ya mungu mnatafuta nini mahosipitali kuhudumiwa?.
ReplyDeleteKama hilo gari lilikuwa na comprehensive insurance hakuna haja kwa huyo mama kulialia. Au hilo gari lilikuwa halina bima?
ReplyDelete