Mgeni rasmi  mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika akizungumza na wananchi wa Jimbo lake katika uzinduzi wa kampeni za kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia
Mwenyekiti wa Alice Foundation Alice Ndosi na mratibu wa miradi (Kwame)Kulia wakimkabidhi Mgeni Rasmi Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika  (katikati)Tshirt katika uzinduzi wa taasisi hiyo
Mrs. Alice Dosi Mwamsojo akizindua rasmi kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Mimi huwa sielewi hizo haki za wanawake ndiyo zipi? Halafu wanamkaribisha mtu ambaye hata hajaoa, huyo Mnyika anajua kweli haki za wanawake? Au kinadharia tu.

    ReplyDelete
  2. mwanamke nywele babu!

    ReplyDelete
  3. Hizi nywele nyewele zake za asili na wala siyo za mizimu kama wanavyopenda kuvaa dada zetu wengine. Hongera na uwe mfano wa kuigwa.

    ReplyDelete
  4. We anony wa Mar10,03:00AM unasema hujui haki za wanawake?! Basi we ngoja katiba mpya ipite alafu ndio utaelewa maana yake, Siumesikia Kenya wanawake wanawadunda waume zao na kuwanyima unyumba sasa hiyo ndio inakuja bongo ndugu yangu mie mwenyewe naogopa!Kifupi wanawake wanataka wapewe nguvu ya kutuburuza .

    ReplyDelete
  5. Kama haki zenyewe ni za kutuburuza kama yanayotokea Kenya, basi huo ni uhasama na wanaume wajiandae kwa vita dhiti ya wanawake kupita hiyo katiba mpya.

    ReplyDelete
  6. Afande Mashuka nakuona hapo umepiga pozi. Msalimie Mama Shekeli.

    ReplyDelete
  7. HIVI KARIBUNI HUYO MNYIKA AMEMCHUKULIA DHAMA JAMAA AMBAYE ALIMBAKA MSICHANA WA MIAKA 16. JEE HUYO SIO MWANAMKE.HIVI SASA HAO WALIO PELEKA MALALAMIKO POLISI WAMEGEUZIWA KIBAO KWAMBA WALITAKA KUMUUWA HUYO MHUSIKA. HIYO NDIO TZ YETU NA HAKI ZAKE.

    ReplyDelete
  8. haki za wanawake hata sielewi naona njia za kuburuzana tu serikali haina dini lakini wanawake wana dini zao na zinawafundisha kujuwa haki zao

    ReplyDelete
  9. Nyie mnaosifia nywele basi kweli mambwiga yaani hamjui nywele za ukweli zipi na za bandi ni zipi, haya muangalieni vizuri kwa hapo mbele ndo utajua vizuri, hilo weaving yaoneni mavisogo yao!! Kaendeza though.

    ReplyDelete
  10. Wanaume wa kiafrika acheni woga na udhaifu,kama wewe ni bosi mzuri,mume mzuri,kaka mzuri,baba mzuri n.k kwa nini uogope haki za wanawake acheni uwoga na udhaifu.Hongera sana Mh.Mnyika ubarikiwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...