![]() |
Mgeni rasmi mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika akizungumza na wananchi wa Jimbo lake katika uzinduzi wa kampeni za kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia |
![]() |
Mwenyekiti wa Alice Foundation Alice Ndosi na mratibu wa miradi (Kwame)Kulia wakimkabidhi Mgeni Rasmi Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika (katikati)Tshirt katika uzinduzi wa taasisi hiyo |
Mrs. Alice Dosi Mwamsojo akizindua rasmi kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION
Mimi huwa sielewi hizo haki za wanawake ndiyo zipi? Halafu wanamkaribisha mtu ambaye hata hajaoa, huyo Mnyika anajua kweli haki za wanawake? Au kinadharia tu.
ReplyDeletemwanamke nywele babu!
ReplyDeleteHizi nywele nyewele zake za asili na wala siyo za mizimu kama wanavyopenda kuvaa dada zetu wengine. Hongera na uwe mfano wa kuigwa.
ReplyDeleteWe anony wa Mar10,03:00AM unasema hujui haki za wanawake?! Basi we ngoja katiba mpya ipite alafu ndio utaelewa maana yake, Siumesikia Kenya wanawake wanawadunda waume zao na kuwanyima unyumba sasa hiyo ndio inakuja bongo ndugu yangu mie mwenyewe naogopa!Kifupi wanawake wanataka wapewe nguvu ya kutuburuza .
ReplyDeleteKama haki zenyewe ni za kutuburuza kama yanayotokea Kenya, basi huo ni uhasama na wanaume wajiandae kwa vita dhiti ya wanawake kupita hiyo katiba mpya.
ReplyDeleteAfande Mashuka nakuona hapo umepiga pozi. Msalimie Mama Shekeli.
ReplyDeleteHIVI KARIBUNI HUYO MNYIKA AMEMCHUKULIA DHAMA JAMAA AMBAYE ALIMBAKA MSICHANA WA MIAKA 16. JEE HUYO SIO MWANAMKE.HIVI SASA HAO WALIO PELEKA MALALAMIKO POLISI WAMEGEUZIWA KIBAO KWAMBA WALITAKA KUMUUWA HUYO MHUSIKA. HIYO NDIO TZ YETU NA HAKI ZAKE.
ReplyDeletehaki za wanawake hata sielewi naona njia za kuburuzana tu serikali haina dini lakini wanawake wana dini zao na zinawafundisha kujuwa haki zao
ReplyDeleteNyie mnaosifia nywele basi kweli mambwiga yaani hamjui nywele za ukweli zipi na za bandi ni zipi, haya muangalieni vizuri kwa hapo mbele ndo utajua vizuri, hilo weaving yaoneni mavisogo yao!! Kaendeza though.
ReplyDeleteWanaume wa kiafrika acheni woga na udhaifu,kama wewe ni bosi mzuri,mume mzuri,kaka mzuri,baba mzuri n.k kwa nini uogope haki za wanawake acheni uwoga na udhaifu.Hongera sana Mh.Mnyika ubarikiwe.
ReplyDelete