Banda la Arise Beauty Supply katika maonesho ya Harusi Trade Fair 2012 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam. Maonesho hayo ya siku tatu ya kila mwaka yamepamba moto leo na kesho yanatarajiwa kuvutia wadau wengi zaidi 
 Wahudumu wa Arise Beauty Supply
Wadau wakipata huduma ya mafuta ya 'Ebenezer' yasiyo na kemikali. Arise wana maduka Mikocheni kwa Mwalimu na Sinza Mapambano jijini Dar es salaam. contact zao ni email ya info@arise.tz.com ama simu namba 0714311283 ama 0784521171
au tembelea libeneke lao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. www.ebenezer-arisebeauty.comMarch 31, 2012

    Ukipenda unaweza kutembelea website yetu www.ebeneze-arisebeauty.com pia.
    Karibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...