Sehemu ya ujenzi wa jengo jipya la Ghorofa 20 la Ushirika pembeni mwa jengo la zamani mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam
Muonekano wa jengo jipya na la zamani la Ushirika litapokamilika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi hapa kwetu hatuna utamaduni wa kuvunja majengo ya zamani? Ingependeza zaidi hili jengo la zamani likivunjwa ili kupisha muenekani mzuri wa jengo hli jipya.

    ReplyDelete
  2. Jee na parking mumeweka nafasi?

    Maana siku hizi hawa Jiji wamefanya ni mtaji, huwa hawaweki alama yo yote kwenye sehemu na ukipaki tu wengine wanakudai mia tatu halafu anakuja mwengine kukuchaji 70,000 eti umepaki 'no parking area'

    Uonevu mtupu hapa jijini.

    ReplyDelete
  3. poor planning, maghorofa yanazidi kuongezeka posta na kariakoo ila barabara hazipanuliwi ni zile zile foleni itazidi kutumaliza. kwa nini wasiige mfano wa mawasiliano tower pale sam nujoma, maana inapunguza population mjini.

    ReplyDelete
  4. wewe mdau wa kwanza hivin wewe kweli una akili au umetoka mpanda wewe unataka nyumba za zamani zivunjwe ili kupata nafasi ya nyumba za kisasa kwa ni ni mji usipanuke kinyume cha kuvunja+

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...