I am looking for help and unbiased advice from people with latest and reliable information. I am planning for 2 weeks family vocation trip to Golden Sand area, Varna, Bulgaria this summer.
Being a mixed family, we are interested on situation on racial related crimes and segregation.
I know that, ubaguzi upo sehemu nyingi duniani. On the other hand, I don’t mind people pointing finger at me, but active skin heads or mass hate rage will be a reason to alter our plans.
Let me clarify: aim of visiting Varna is based on medical/clinical recommendations and financial circumstances. So, for those who write for the sake of self-satisfaction, please do not tell me what to do and I won’t tell you where to go.
Please leave your comments here or contact me: blackmpingo (at sign) Hotmail dot com
Any positive comment will be highly appreciated.
Thank you.
Blackmpingo and family
You will need a work permit for "VOCATION" in Bulgaria!! Bulgarians perceive black people as "Monkeys". Good luck with your "VOCATION" in Bulgaria!!
ReplyDeletemmmmmmmnh r u going to commit suicide??? i dont see any aother 'medical reason' lol...oooh wait cheap plastic surgery just came into my mind.....whatever it is goodluck....
ReplyDeleteis it vacation or vocation. you are planning. there is a big difference between the two
ReplyDelete.
haloo hapo juu 29.3/ 01:06:00 umezidi nawe duh.. alikuomba umsahishe..... watu wengine bwana!
ReplyDeleteTehe tehe annony wa kwanza hapo juu umenichekesha sana... surely he will need a work permit for that "VOCATIONAL TRIP"!
ReplyDeleteGood luck with your attitude!
ReplyDeletewatakuambia NYANYI wewe...acha unyaturu wewe rudi nyumbani!!!
ReplyDeleteif u are very black, don't make the trip!
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza umechemmka. Work permit what for? Are they going to work? They are going for vocation, they need Visiting visa, and not work permit. Thank you
ReplyDeletewacha majigambo, wee ni mlala hoi tu , saidia ndugu zako huko kijijini ulipotoka. Vocation huko ni kwenu , hay mambo ya ubaguzi hayakuana leo, ukijiddai mjuaji sana , utarudi nyumbani mikono mitupu, au utaishia na hayo majigambo yako tu mpaka kwisheni , alaaah
ReplyDeleteMdau wa Mar 29 6:07 Vocation ni tafauti na Vacation. Hebu jaribu kuangalia dictionary basi ujifunze!
ReplyDeleteWewe unaejiita black mpingo ina maana umweusi balaa (100% melanin content). Tahadhari huko utegemee lo lote maana unatembelea maeneo si yako.
Samahani lakini inabidi tukwambie ukweli.
your an idiot we unatuomba ushauri at the same time unatuchimba biti, we mwehu nini, sasa jisaidie mwenyewe, ubaguzi upo na watakuita monkey as nomal idiot
ReplyDeleteNdugu yangu ubaguzi unauma sana sio uongo,lakini upo kila sehemu hata hapa kwetu upo.Kwani mbona waarabu mitaani wanaitwa "we mwarabu"au we muhindi =we baia.Sasa kwakweli hili suala ni baya sana mfano Uingereza au marekani kumuita mweusi "hey niger"ni jambo baya na unaweza kumshitaki mtu kwa ubaguzi.Kwahio ubaguzi wa kuitwa nyani au niger au chochote kile basi vumilia ila nakushauri uangalie maeneo ni muhimu kwani kama kuna crimes basi sio sehemu ya kufikia na kwa rangi yako wanaweza kukudhuru na ni hatari.Kuna mama wa kutoka Iraq nchini marekani majuzi alipigwa mpaka kufa ndani ya nyumba yake na aliachiwa msg ya kurudi kwao kwasababu ya ubaguzi either wa kidini au wa rangi.It's a sad story ever!!!Lakini ni mwenyezi mungu ndio atakae waadhibu wabaguzi wote.Good luck.
ReplyDeletemdau wa Thu Mar 29, 06:07:00 PM 2012 - na wewe unazidi kusisitizia "vocation"....jamani kuna tofauti kati ya "vocation" na "vacation". with vacation atahitaji vistor's visa and with vocation YES atahitaji work permit
ReplyDeleteanyways, wewe mpingo mpeleke mamsap hapo zanzibar au mtwara atafurahi tu na wala hutahitaji work permit wala visa.
and please, unataka ushauri, kuwa mpole. watanzania wanapendelea watu wanyenyekevu especially kama wanakupa favor. siku hizi hata kuuliza direction siyo bure ni mtaji halafu wewe unaingia humu na attitude
huyu bwana nadhani anachangamsha barazi. hembu someni paragraph ya pili, kwenye maelezo yake. Anasema wao ni familia wamechanganyika( nadhani anamaanisha ameoa mzungu, although kwa kiingereza fasaha huwezi kusema mixed family)anaendelea... wanapendelea katika sehemu za uhalifu unaohusiana na ubaguzi wa rangi. na vile vile story yake inachanganya...Nashauri angeandika kiswahili ungeeleweka vizuri. Na ungepata ushauri wa busara.Kwa kweli hueleweki.
ReplyDelete