Mkurugenzi wa kampuni ya Equilibrium Rope Access Bw. Abdulkarim Tumba akipanda juu kwa ajili ya kusafisha vioo kwa kutumia teknolojia ya Rope Access ambayo ni mpya kwa hapa nchini. Aliongeza kuwa ni vyema Watanzania wenye majengo wakajitokeza kuitumia teknolojia hii ambayo ni salama. Na leo kwa mara ya kwanza tokea teknolojia hiyo imeingia nchini Tanzania wameifanya katika Jengo la CM Plaza lililopo  Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 ...Akielekea juu kwa ajili ya kuanza kusafisha jengo hilo; ambapo usafi unafanyika kwa ustadi kabisa.
 Muonekano wa jengo huku akionekana Bw. Abdulkarim Tumba akiendelea na usafi.
 Akiendelea na usafi ambapo haitaji vifaa vingi wala umeme na ni haraka na salama.
Jengo la CM Plaza kama linavyoonekana wakati likifanyiwa usafi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. NAOMBA KUULIZA WADAU. KWANI HIYO NI TEKNOLOGIA MPYA?

    ReplyDelete
  2. Wana life insurance hao?

    ReplyDelete
  3. Wawakatie na life insurance kabisa,bongo hakuaminiki

    ReplyDelete
  4. Mmmmhhh!

    Kakak yataka moyo!

    ReplyDelete
  5. Iko wapi hiyo teknologia mpya, au ni sisi wenyewe kuwa washamba kwa kuchelewa kuwa na majengo ya aina hiyo?

    ReplyDelete
  6. Iko wapi hiyo teknologia mpya, au ni sisi wenyewe kuwa washamba kwa kuchelewa kuwa na majengo ya aina hiyo?

    ReplyDelete
  7. Kwa TZ yawezekana ni Tech mpya, lakini ughaibuni ni kawaida tu.

    ReplyDelete
  8. Wamegundua kwa Tanzania au wamecopy maana kwenye nchi nyingi inafanyika

    ni wamecopy

    ReplyDelete
  9. Haya majengo ya vioo vitupu ni ni ghali sana kuya-maintain, hasa yakiwa katika jiji kama Dar es Salaam lenye vumbi jingi. Jengo kama hili likiwa Kariakoo litatakiwa lisafishwe vioo karibu kila siku.

    ReplyDelete
  10. Ughaibuni ni kawaida kwa msafishaji kuning'inia kwenye kamba hivyo?

    ReplyDelete
  11. Huyo ni mwanangu Karim tukonae Cape town`Waonyeshe nduguzetu wabongo Rope access Techinition ndiyo shughuli zetu.

    ReplyDelete
  12. Hizo ndiyo shughuli zetu za Rope Access Technition.Waonyeshe kaka ndugu zetu wa Bongo tunavyowajibika

    ReplyDelete
  13. MwamnyanyiApril 03, 2012

    Kwa Bongo ni Teknologia mpya`labda nchi nyingine zilizoendelea kama South Africa`Angola`Nigeria na baadhi nchi nyingine za africa zinazochimba mafuta na ulaya pamoja na malekani`UAE na asia ambazo wanatumia Rope Access Technition.Thanks

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...