Mkurugenzi wa kampuni ya Equilibrium Rope Access Bw. Abdulkarim Tumba akipanda juu kwa ajili ya kusafisha vioo kwa kutumia teknolojia ya Rope Access ambayo ni mpya kwa hapa nchini. Aliongeza kuwa ni vyema Watanzania wenye majengo wakajitokeza kuitumia teknolojia hii ambayo ni salama. Na leo kwa mara ya kwanza tokea teknolojia hiyo imeingia nchini Tanzania wameifanya katika Jengo la CM Plaza lililopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
...Akielekea juu kwa ajili ya kuanza kusafisha jengo hilo; ambapo usafi unafanyika kwa ustadi kabisa.
Muonekano wa jengo huku akionekana Bw. Abdulkarim Tumba akiendelea na usafi.
Akiendelea na usafi ambapo haitaji vifaa vingi wala umeme na ni haraka na salama.


NAOMBA KUULIZA WADAU. KWANI HIYO NI TEKNOLOGIA MPYA?
ReplyDeleteWana life insurance hao?
ReplyDeleteWawakatie na life insurance kabisa,bongo hakuaminiki
ReplyDeleteMmmmhhh!
ReplyDeleteKakak yataka moyo!
Iko wapi hiyo teknologia mpya, au ni sisi wenyewe kuwa washamba kwa kuchelewa kuwa na majengo ya aina hiyo?
ReplyDeleteIko wapi hiyo teknologia mpya, au ni sisi wenyewe kuwa washamba kwa kuchelewa kuwa na majengo ya aina hiyo?
ReplyDeleteKwa TZ yawezekana ni Tech mpya, lakini ughaibuni ni kawaida tu.
ReplyDeleteWamegundua kwa Tanzania au wamecopy maana kwenye nchi nyingi inafanyika
ReplyDeleteni wamecopy
Haya majengo ya vioo vitupu ni ni ghali sana kuya-maintain, hasa yakiwa katika jiji kama Dar es Salaam lenye vumbi jingi. Jengo kama hili likiwa Kariakoo litatakiwa lisafishwe vioo karibu kila siku.
ReplyDeleteUghaibuni ni kawaida kwa msafishaji kuning'inia kwenye kamba hivyo?
ReplyDeleteHuyo ni mwanangu Karim tukonae Cape town`Waonyeshe nduguzetu wabongo Rope access Techinition ndiyo shughuli zetu.
ReplyDeleteHizo ndiyo shughuli zetu za Rope Access Technition.Waonyeshe kaka ndugu zetu wa Bongo tunavyowajibika
ReplyDeleteKwa Bongo ni Teknologia mpya`labda nchi nyingine zilizoendelea kama South Africa`Angola`Nigeria na baadhi nchi nyingine za africa zinazochimba mafuta na ulaya pamoja na malekani`UAE na asia ambazo wanatumia Rope Access Technition.Thanks
ReplyDelete