Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akibebwa kwa shangwe wakati wa mapokezi yake alipowasili kijiji cha Kimundo, Kata ya Nkoariasambu kufanya mkutano wa kampeni.
Sioi akisalimia wananchi baada ya kuwasili katika kijiji hicho cha Kimundo, Nkoroasambu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. CCM kama tunataka tupate tena ridhaa ya wananchi kama zamani basi tubadilike tujenge maadili ambayo tumeyapoteza kwa wananchi ndio maana wanaiona CHADEMA ndio kimbilio lao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...