Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa (katikati) akizungumza na Meneja Mahusiano wa Benki ya NMB, Bi Shy-Rose Bhanji ambaye amefika Wilayani Monduli leo kutoa msaada wa sh. 10 milioni uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya waathirika wa Mafuriko yaliyoukumba mji wa Mto wa Mbu,Wilayani Monduli.Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Vicky Bishubo.
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,Mh. Jowika Kasunga (kulia) pamoja na DAS wa Monduli,George Mjema wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...