Mabingwa watetezi wa netiboli kombe la NSSF, timu ya Zanzibar, imepania kutetea ubingwa wao kwa hali na mali na tayari hadi sasa hawajapoteza mchezo hata mmoja. Timu hii inaundwa na watumishi wa vyombo mbalimbali vya habari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. dada zangu zanzibar, mnaweza kucheza netball na bado mkavaa kimaadili ya kidini.Namuomba Mungu aniongoze mimi, pomoja na nyinyi. Tafadhali naomba muangalie huyo dada anacheza basketball na amevunja record.Naomba ujumbe wangu mu-opost kusudi watu waone mavazi sio disadvantage ya kucheza.asanteni.Kuna timu vilevile ya basket ball in atlanta ya kiislam ya wanawake watupu walifika mpaka top 16.Ni high school ndogo tu yenye wanafunzi themanini na kitu.mdau usa. tafandali copy na paste link hiyo itakupeleka you tube.http://www.youtube.com/watch?v=VEQ7er6ndUw&feature=related

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...