Kikosi kabambe cha Uhuru Publications kinachoshiriki michuano ya soka ya Kombe la NSSF 2012 na tayari kimefanikiwa kutinga nusu fainali baada ya kufanya vyema katika mechi za awali. Chini Kocha Msondo akitoa mawaidha wakati wa mapumziko katika mojawapo ya mechi hizo. Uongozi wa timu hii umeshabihisha kwamba mwaka huu hawataki mchezo na kombe lazima litinge makao makuu mtaa wa Lumumba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...