Juma Nassoro (kushoto) na msichana Azar Charles wakionesha umahiri wa kucheza danadana kwa kichwa katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, ambapo Meneja Mkuu wa Heineken Afrika Mashariki, Koen Morshuis (hayupo pichani) akielezea maandalizi ya ujio wa Kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA) nchini Machi 27, mwaka huu.
Meneja Mkuu wa Heineken Afrika Mashariki, Koen Morshuis akielezea maandalizi ya ujio wa Kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA) nchini Machi 27, mwaka huu.
Huu ndo ulimbukeni wa hali ya juu!!!
ReplyDeleteHow does UEFA became African pride?
Hii itasaidia vipi kiwango chetu cha Kucheza?
Hao Heineken kwanini wasiifadhili team ya Taifa ya Vijana wakacheza huko Europe wakaongeza kiwango chao? au lete hao mabingwa wa hilo kombe wacheze na club, Taifa stars hapo nchini.
Mdau
Makongoro
Wanaleta weusi watoe ushamba lini kombe la mataifa Afrika linaenda Ulaya kutembezwa?
ReplyDeletesasa hilo kombe la UEFA lina faida gani kwetu au tuzidi wachangie pesa kwa kunywa zaidi pombe?
ReplyDeleteWatanzania huko tnakokwenda ni kubaya sasa hivi ushoga utahalalishwa na mambo yetu ya kuiwasililiza sana hao wazungu shauri zetu