Juma Nassoro (kushoto) na msichana Azar Charles wakionesha umahiri wa kucheza danadana kwa kichwa katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, ambapo Meneja Mkuu wa Heineken Afrika Mashariki, Koen Morshuis (hayupo pichani) akielezea maandalizi ya ujio wa Kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA) nchini Machi 27, mwaka huu. 
Meneja Mkuu wa Heineken Afrika Mashariki, Koen Morshuis  akielezea maandalizi ya ujio wa Kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA) nchini Machi 27, mwaka huu. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huu ndo ulimbukeni wa hali ya juu!!!
    How does UEFA became African pride?

    Hii itasaidia vipi kiwango chetu cha Kucheza?
    Hao Heineken kwanini wasiifadhili team ya Taifa ya Vijana wakacheza huko Europe wakaongeza kiwango chao? au lete hao mabingwa wa hilo kombe wacheze na club, Taifa stars hapo nchini.

    Mdau

    Makongoro

    ReplyDelete
  2. Wanaleta weusi watoe ushamba lini kombe la mataifa Afrika linaenda Ulaya kutembezwa?

    ReplyDelete
  3. sasa hilo kombe la UEFA lina faida gani kwetu au tuzidi wachangie pesa kwa kunywa zaidi pombe?

    Watanzania huko tnakokwenda ni kubaya sasa hivi ushoga utahalalishwa na mambo yetu ya kuiwasililiza sana hao wazungu shauri zetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...