Timu ya Azam Fc Tanzania inaonyesha uwezo wa kumiliki mpira kama Barcelona FC ya Spain au Swansea Fc ya England ktk premier league.
Tuone Azam Fc ya Mbagala-Chalambe, Dar-es-Salaam ikitandaza soka la kitabu na pengine mwaka huu inaweza kushiriki ktk mashindano ya kimataifa Africa na kufanya maajabu zaidi ya timu kongwe za Dar na Tanzania.


MICHUZI SUALA SIO WINGI WA PASI.ILA PASI ZINATENGENEZA MAGOLI?KAMA KULEMBA TU PASI NYINGI ZISIZO NA MALENGO HATUFIKI POPOTE.TUNAISHIA KUSEMA TUMEFUNGWA ILA CHENGA TUMEWALA
ReplyDeleteKufungwa twafunga lakini chenga twawala. Hii mechi pamoja na kupiga pasi na chenga nyingi matokeo yalikuwa Simba 2 na Azam 0. Azam bado wana safari ndefu.
ReplyDeleteBado mpira wao ni wa kishamba ila wanaonyesha uwezo zaidi ya Simba na Yanga. Nasema mpira wa kishamba kwa sababu sioni wanafanya nini zaidi ya kutoa pasi tu. Pasi zinatolewa kwa lengo la kutafuta bao/mabao ila wao wanatoa pasi tu. Ushauri wa bure kwa soka lisilokuwa na maendeleo (bongo), msiwaige Barca ama Swansea chezeni mpira kwa uwezo wenu ili nanyi mjitafutie jina si kuiga tu bila malengo. Mnatoa pasi tu kutafuta magoli hamjui, si ujinga huu
ReplyDeleteAzam yaweza kututoa Watanazania kama tutaacha U-Yanga na U-Simba. HONGERENI SANA AZAM juhudi twaziona ingawaje vikwazo na mizengwe ni mingi kuelekea mafanikio.
ReplyDeletewaliosifia ni wao na walio ponda ni wao, azam hatuna neno tunapanda tu, yanga katulia, simba bado anatusumbua sumbua lakini atatulia tu. hamieni huku! huko hakuna mpira kuna upinzani wa jadi!!
ReplyDeleteAzam fan (tangia mazoezi uwanja wa magereza ukonga)
Simba na na Yanga hamna kitu zaidi ya upuuzi tu.
ReplyDelete