Jumapili ya tar 18 March 2012. kuanzia saa 9 Alasiri, tutakuwa Mlimani City ndani ya duka la Shear Illusions Kutakuwa na shughuli ya ku sign CD zitakazokuwa zinauzwa Zoezi hilo ni la saa moja na nusu tu (9:00 - 10:30 jioni) Kwa sasa CD ya album YA 5 itakuwa inapatikana dukani hapo tu (SHEAR ILLUSIONS), tutawafahamisha zaidi sehemu zingine mapema iwezekanavyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Lady JD you are so sweet lol,,,Gardner anafaidi!

    Alaa baadhi ya mavituz, mambo yako Jide yamefichika kumbe na wewe una mwanya wa juu sio?

    ReplyDelete
  2. Mnhhh Jide, tunabaki kunyamaza na kuguna kichini chini maana tukisema tunaogopa kupigwa na Mkubwa GH !

    ReplyDelete
  3. Ahhh, Jide sasa huu wako ni uchonganishi.

    Unatafuta tukorofishane na Kaka Mkubwa Gadna kwa ajili yako!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...