Jumapili ya tar 18 March 2012. kuanzia saa 9 Alasiri, tutakuwa Mlimani City ndani ya duka la Shear Illusions Kutakuwa na shughuli ya ku sign CD zitakazokuwa zinauzwa Zoezi hilo ni la saa moja na nusu tu (9:00 - 10:30 jioni) Kwa sasa CD ya album YA 5 itakuwa inapatikana dukani hapo tu (SHEAR ILLUSIONS), tutawafahamisha zaidi sehemu zingine mapema iwezekanavyo
Home
Unlabelled
Lady Jaydee Jumapili ya Tarehe 18 March 2012 Atakua Duka La Shear Illusions Mlimani City Jijini Dar es Salaam Akisign CD Zake Zitakazokuwa Zinauzwa Dukani Hapo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lady JD you are so sweet lol,,,Gardner anafaidi!
ReplyDeleteAlaa baadhi ya mavituz, mambo yako Jide yamefichika kumbe na wewe una mwanya wa juu sio?
Mnhhh Jide, tunabaki kunyamaza na kuguna kichini chini maana tukisema tunaogopa kupigwa na Mkubwa GH !
ReplyDeleteAhhh, Jide sasa huu wako ni uchonganishi.
ReplyDeleteUnatafuta tukorofishane na Kaka Mkubwa Gadna kwa ajili yako!