Mjomba Michuzi kwanza tunakupa salamu kutoka Tayoa na tunashukuru kwa kazi nzuri unayofanya.
Siye tunalibeneke letu la vijana na mtu yeyote anayetafuta kazi anaweza akatutembelea katika tovuti yetu http://www.vijanatz.com/tz/ hapo kuna portal inavitu vingi vingi na unaweza ukaenda tuu moja kwa moja kwenye vijana jobs au http://www.vijanajobs.com na utakuta huko kazi nyingi nyingi tunaziweka kila tunapozipata.
Pia unaweza ukatufwata kwenye twitter @vijanajobs ikitokea kazi yeyote mpya kwenye tovuti na wewe utakuwa update. Kwa wale wenye kazi wanataka kutafuta watu wanaweza waka weka pia kwenye website yetu au wakatutumia kwenye email: info@vijanajobs.com sisi tutaweka.
hureeii hio vijanajobs naona inasaidia sana kazi zote za magazeti huwa nazisomaga hapa.
ReplyDeletesafi sana wakuu..