Mkuu wa Gereza la Mahabusu mjini Songea,SP Sylvester Shija (kushoto) kwa niaba ya Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Rais Jakaya Kikwete,akimvalisha cheo staff sajent Anna Alexander wakati wa hafla ya kuwapandisha vyeo askari wa nne wa Jeshi hilo Mjini Songea leo.
Mkuu wa Gereza la Mahabusu Mjini Songea,SP Silvester Shija akizungumza na askari pamoja na maofisa wa jeshi hilo mkoani Ruvuma mara baada ya kuwapandisha vyeo askari wa nne kutoka koplo hadi sajent na wengine kutoka sajent hadi staff sajent, kwa niaba ya Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama hapa nchini Rais Jakaya Kikwete.hafla hiyo imefanyika leo mjini humo.
Baadhi ya asakari magereza kutoka gereza la mahabusu mjini Songea wakiwapongeza askari wenzao wanne walipandishwa vyeo kwa ngazi mbalimbali mjini songea leo. PICHA NA MUHIDIN AMRI
Haya Magereza yote karibu yanafanana..nilipoona hili kabla sijasoma picha nilidhani ni gereza la Geita au ngudu au Butimba...nk.Hongereni sana mliotunukiwa hivyo vyeo.
ReplyDelete*****Cheo ni dhamana...***
*****sitapokea wala kutoa rushwa**
*****Nitakuwa mtiifu daima.....!!
David V
Huyu Reporter wako wa songea yuko up to date mwongeze mshahara, weldone maana kila siku anajipya la mkoani sasa tafuta na mikoa mingine blog ipande chart zaidi
ReplyDeleteDavi hicho kiapo cha long time, cku hizi wanaapa kama hivi,
ReplyDeleteKupokea rushwa ni haki yangu.
Kuwapiga wananchi hatutachoka.
sitajali mtu ilimradi mkono mtupu haulambwi, hehe
Hahahaha Wadau wote na David V.
ReplyDeleteNiacheni nichekeleeee!
Ama kweli hicho ni kiapo cha miaka ile ya ''ZIDUMU FIKRA SAHIHI'' kipindi kile ktk mfumo wa Chama Kimoja 1978 huko kitambo!