Habari kaka Isaa michuzi,
Acha roho korosho kaka yetu weeeee. Hivi mbona wanawake tukikutumia utuwekee matangazo yetu kuwa tunatafuta mchumba hutuwekei wakati wanaume unawawekea? ama ni kosa la jinai?


Namie naomba msaada kwenye tuta hapo. Mimi ni mwanamke ninatafuta mchumba wa kitanzania, mwenye umri wa miaka kuanzia 35 mpaka 42. Mimi nina miaka 35, na nina elimu ya chuo kikuu. Aliye tayari aniandikie kwenye  email address: naomishija@ymail.com
 Libeneke oyeee 
Mdau Naomi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AMA KWELI JAMES BOND HAKUKOSEA KUNENA THE WORLD IS NOT ENOUGH

    ReplyDelete
  2. Au awe anawaunganisha wanawake wanaotafuta na wanaume wanaotafuta, hakuna haja ya kupost

    ReplyDelete
  3. kwa huo umri utapata serengeti boy tu, maana wanaume wenye age yako wanatafuta wanawake wa miaka 25 kurudi chini

    ReplyDelete
  4. mbona mkali sana dada? utaweza ndoa kweli wewe?

    huna uvumilivu kwa post yako kuwekwa hewani jee utavumilia ndoa?

    ReplyDelete
  5. Mimi nina miaka 45, nipo UK, kama email sahihi nimetuma maombi.

    ReplyDelete
  6. Nenda fesi buku, toa picha yako na umri, fala atajitokeza tu dada!!

    ReplyDelete
  7. HAYA YOTE NI MAONI YA KITZ,MBONA ANGEWEKA KWAKIMTONI KWENYE WEB ZA KIMATONI WENGI WANGE SUPPORT.MWEEEEE KWELI UMASKINI UNAANZIA KICHWANI KWANZA...ALAFU UTASKIA KUNA JITU HALIKUBALIANI NA MIMI.MARAISI WENU(KASORO NYERERE) WAMEAMBIWA LAZIMA MUKUBALI GLOBALISATION ILI MPATE MTAKAYO.DADA HAPA ANAONESHA UWEZO WA KUAMUA MWENYEWE ATAKALO,SIO MTAKALO NYIE WABONGO!UKIWEZA KUTAFAKARI HII INFLATION YA SASA KIUNDANI,THEN UTAKUWA NA HAKI YA KUPONDA MENGINE.SIO KUKOSOA TUU,BILA KUJA NA JAWABU,NYANG'AU

    ReplyDelete
  8. Dada ninakupa big up. kwa ujasiri na ukakamavu na kuondoa imani ya kizamani. nawashauri wanaosema mkali waelewe kuwa ni kwa ukali huo ndio uliokusababisha waone hili tangazo lako. waliowapole na wanyenyekevu naummatangazo yao yapo kapuni. mimi ni mwanaume kwa hiyo maoni yangu ya kiume. nafikiri kuwa kama ingekuwa natafuta mke ningekupenda katika ukweli kuwa unamwamko na sio wakuburuzwa.
    nakutakia mafaniki mema. naunga mkono utaratibu huu kwani mawazo finyu ndio yanayoofikiri mtu anaweza kupata mke au mume kwa wale anaokutana nao phisically tu. all the best. mimi mdau mtanganyika

    ReplyDelete
  9. uwiii njoo nikugawie wa kwangu, wala usihofi huhitaji kumzalia maana nimeshamfyatulia watoto wanne. umsaidie kulea tu ana miaka hiyo unayotaka.

    ReplyDelete
  10. FANYA TU KAMA KINA KARDASHIAN MBONA WANAOLEWA NA KUINGIA MITINI USIOGOPE KAMATA TOTO ILE ROHO INAPENDA.

    ReplyDelete
  11. Dada nenda viwanja vya fisi manzese huna haja ya kuhangaika sana umri ulio taja hapo utawapata bila wasiwasi kabisa.
    MIMI ULIMI WA DAMU,ASANTE

    ReplyDelete
  12. Dada ulikuwaga wapi siku zote? Kwa kuchelewa hivi utakuwa na sifa nyingi zitakazo kuuza hebu tupia CV kidogo..

    ReplyDelete
  13. Mdau wa UK sikuhitaji. Nataka wa Tz tu. Maana sijui tutarudishwa congo,zaire, burundi or Ruanda inatokana uliomba ukimbizi kivipi! Au na wewe uliolewa ili kupata uraia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...