KANALI ADOLF PETER MUTTA WA MAKAO MAKUU YA JWTZ ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI MZEE PETER LUGALABAMU (PICHANI) KILICHOTOKEA JUMAMOSI TAREHE 10/03/2012 KATIKA HOSPITALI KUU YA JWTZ LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM.
MIPANGO YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU KWENDA KARAGWE MKOANI KAGERA INAFANYIKA NYUMBANI KWA KANALI MUTTA LUGALO DAR ES SALAAM.
MWILI WA MAREHEMU UTASAFIRISHWA JUMATATU TAREHE 12/03/2012 NA KUZIKWA JUMATANO TAREHE 14/03/2012 NYUMBANI KWA MAREHEMU HUKO KARAGWE, KAGERA.
HABARI ZIWAFIKIE WANAUKOO WOTE WA ABAHINDA WA KAMACHUMU, UKOO WA KAMUNIGA, UKOO WA BIITA, FAMILIA YA MZEE KINANILA, FAMILIA YA HELMAN WA KAMACHUMU, NDUGU WOTE NA MARAFIKI.
afande pole kwa kumpoteza kamanda wa ukoo.mungu aipe nguvu familia katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDelete