Msanii Mpya wa bendi ya Msondo ngoma, Shabani Lendi (kushoto) akipuliza Saxphone wakati wa onesho la bendi hiyo iliyofanyika jumapili katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni wengine ni Hamisi Mnyupe, Romani Mngande na Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D 
Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Hasani Moshi,Shabani Dede,Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D na mwimbaji Juma Katundu 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hasan Moshi, spit of his late father,I could tell the fact instantly, no DNA needed, your dad would be proud buddy.

    ReplyDelete
  2. Kidogo tu!, Kidogo tu!, Kidogo tu!,

    *****BABA YA MUZIKI*****

    USIMCHEZEE BABA!
    UTACHAPWA MAKOFI UTALIA!, UTACHAPWA VIBOKO UTALIA!, UTATETEWA NA WATU!, UTABEMBELEZWA NA UTAKANYWA USIRUDIE MAKOSA!

    UKILETA UJINGA ,UTAHARIBIKIWA KABISA NI VILE UTAACHIWA RADHI NA BABA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...