Mkurugenzi wa filamu, Jason Russell, ambaye filamu yake inayomshambulia kiongozi wa wapiganaji wa Uganda, Joseph Kony, ilizagaa kwenye mtandao wa internet, inaelekea amepata ugonjwa wa akili.
Shirika la "Invisible Children", lilisema zogo lilozuka baada ya filamu hiyo, limesumbua roho za wanachama wote; na hasa Bwana Russell.Shirika lilofanya filamu hiyo, liitwalo "Invisible Children", limesema kuwa Bwana Russell amelazwa hospitali kutokana na machofu, kiwiliwili kuwa kikavu, na njaa.
Ripoti zinasema kuwa Jason Russell amekutikana hakujistri sawasawa, akipiga kelele mabara-barani, mjini San Diego, California.
Filamu hiyo ya nusu saa, iliyotoa wito kuwa Joseph Kony akamatwe, ilizagaa kwenye mitandao, na kuwasikitisha wengi, lakini baadhi ya watu wanaona filamu haikueleza vita vya Uganda vilivyo.
mnh huu uandishi,kuna shirika la invisible children au filamu ndio inaitwa invisible children...yaani ukisoma habari yote unahisi haijaandikwa na mtu 'profesheno'....
ReplyDeletekisha somewa hala badri unafanya mas khara kujifanya mbabe kila kitu
ReplyDeleteKony kaaga kwao! We unaleta mambo ya justice na freedom wakati watu wameaga vijijini kwao
ReplyDeleteHANA ADABU WALA HAYA ALITAKA KUFANYA BIASHARA KWA JINA LA KONY,ALE SASA HIZO PESA NA UCHIZ WAKE.
ReplyDeletevoodoo hiyo lazima
ReplyDeletechezea waafrica.
Hope he recovers soon
Jamani hizi Google translator inabidi ziwe edited.
ReplyDeleteMichuzi nawe sio unaupload tu habari yoyote, jaraibu kuipitia!
Kumbe wazungu nao wanalogeka? Namtaka huyu mganga
Mdau wa maoni ya kwanza kwani shirika haliwezi kuwa invisible children na likatoa filamu ikaitwa invisible children?
ReplyDeleteHuyu jamaa ni Scam katengeneza peza Vibaya sana, KONY alikuwepo kweli na kufanya hivyo Vitendo ila Zamani sana Jamaa sijui kama yupo UGANDA tena, Huyu Mjinga Documentary alichemsha na njia za kupatia pesa hajafanyiwa Uchawi ila tu kuna wale wanaitwa FREEMASON washampiga Sindano sasa wanamsingizia kawa chizi baada kuona kachemsha Game la kuingiza pesa, FREEMASONS watu wabaya kuwa makini nao Jamani, Khalfan.
ReplyDeleteJAMAA NASIKIA KACHANGANYIKIWA ILE MBAYA. LAKINI INAELEKEA NI DRUGS.
ReplyDeleteMarekani wanarusha madege ya CHUMA yasiyo na marubani kushambulia maadui zao,,,,Mwafrika anarusha NDUMBA kwa mavumba YASIYO YA CHUMA kufanyiza Marekani !
ReplyDeleteNANI ZAIDI?
DUNIANI HAKUNA JAMBO UTAKALO FANYA WATU WOTE WAKAKUPONGEZA NADHANI NI VIZURI KUJUA FACT KWANZA KULIKO KUSEMA MANENO BILA UHAKIKA,KWANZA NI AIBU KUONA MTU KAMA KONY BADO YUPO MPAKA LEO. ANYWAY I GUESS THAT'S OUR AFRICA.
ReplyDeletewala hafi watamtafuta mpaka wachokehawampati.
ReplyDeleteKony ni sawa na viongozi wa Tanzania kutumia ubabe kupitia uchawi kila kukicha. Na inasemekana kaanza kwa huyu jamaa kisha atamalizia kina Michuzi na wasomaje wake wote waliosoma habari za Kony. Inatisha na najuta kwa nini niliona ile documentary maana nawashwa kweli mwilini toka jana.
ReplyDeleteYamemkuta!
ReplyDeleteHaya ni matokeo ya Hela za Haraka Kuliko M-Pesa Vodacom, angetafuta wauaji wa kwao Marekani wanaotuma Madege nchi zingine kuendesha vita atengeneze Sinema zao na sio Afrika!