Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushoto) na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba, wakimnadi mgombea ubunge wa CCM, Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, eneo la Ambureni, jimboni humo. (Picha na Bashir Nkoromo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mbona kichwa cha habari na picha havifanani? kipaza sauti anacho mwingine lakini tunaambiwa nape ndio anamnadi sumari. jamani taratibu ngoma haikawii kupasuka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...