Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA),Joshua Nassari akiongea na wafanya biashara mbalimbali wa soko la Tengeru wakati alipotembelea soko hilo leo kwa ajili ya kuomba kura wa wafanyabiashara hao.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA),Joshua Nassari akiwa katika soko hilo la Tengeru ikiwa ni muendelezo wa kampeni yake ya kuomba kura kwa wananchi wa Jimbo la Arumeru Mashariki.
Sehemu ya Wafanya biashara wa Soko la Tengeru wakiendelea na shughuli zao wakati Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA),Joshua Nassari alipowatembelea leo.Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii,Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. i bet akishapata kula zao (samahani kura) hatopita tena huko hata awe na shida ya mboga!

    ReplyDelete
  2. joshua nasari anangeu inaelekea ni alikuwa genge moja na mbunge wa arusha mjini nyakati zilizo pita

    ReplyDelete
  3. i miss tengeruuu...Ilboys(2004-2006).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...