Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA),Joshua Nassari akiongea na wafanya biashara mbalimbali wa soko la Tengeru wakati alipotembelea soko hilo leo kwa ajili ya kuomba kura wa wafanyabiashara hao.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA),Joshua Nassari akiwa katika soko hilo la Tengeru ikiwa ni muendelezo wa kampeni yake ya kuomba kura kwa wananchi wa Jimbo la Arumeru Mashariki.
Sehemu ya Wafanya biashara wa Soko la Tengeru wakiendelea na shughuli zao wakati Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA),Joshua Nassari alipowatembelea leo.Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii,Arusha.
i bet akishapata kula zao (samahani kura) hatopita tena huko hata awe na shida ya mboga!
ReplyDeletejoshua nasari anangeu inaelekea ni alikuwa genge moja na mbunge wa arusha mjini nyakati zilizo pita
ReplyDeletei miss tengeruuu...Ilboys(2004-2006).
ReplyDelete