Kwa wasikilizaji wa Radio One Stereo mkoani Tabora hivi sasa Radio One inapatikana na kusikika vizuri kabisa katika masafa ya 98.1 Fm. Tabora,tumewasikia na sasa tumewafikia!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Du, kumbe miaka yoooote hii tangu Radio one ianzishwe ilikuwa bado haijafika Tabora?

    ReplyDelete
  2. Radio one imelala saaana his Radio. Mpaka Leo hawako online wakati gharama ya kuweka Radio online hata dola mia mbili haifiki!!!! Hamkeni mnashindwa hata an radio za Mtwara na Iringa!!!
    Mimi

    ReplyDelete
  3. Something is wrong somewhere.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...