President Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete delivers a keynote address during the opening session of the International Association of Anti-Corruption Authorities held at mount Meru hotel in Arusha this morning
Photo by Freddy Maro, State House.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ahsante Raisi wetu mpendwa:

    VITA DHIDI YA RUSHWA SI NA IWE PIA NA VITA DHIDI YA UFISADI ?

    Ni vima tukawa na Ujasiri kwa kuanzia kwa jamaa zetu wa karibu Matawi ya juu Mafisadi tuendelee hadi kwa Wajumbe wa Nyumba Kumi na Mashina ya Chama na Serikali za Mitaa !

    ReplyDelete
  2. angalia International conference mambo minimum. Ingekuwa mkutano tumepanga sisi, mapambo na maua kibao costing the nation milions, Ebu jamani tubadilike, hizo fedha za mapambo tununue dawati, dawa, na vitanda vya hospitali.....
    Wabongo tubadilike...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...