Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika leo Kijiji cha Mikandini jimboni humo
 Mgombea ubunge wa CCM, Arumeru Mashariki Sioi Sumari akisalimia mtoto Salehe Khalfan (3) aliyemkuta kwenye mkutano wa kampeni kijiji cha Mikandini
 Mratibu wa kampeni za CCM uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki,  Mwigulu Nchemba  akimnadi Sioi kwenye mkutano wa Mikandini leo.
Kinamama Mikandini wakimshangilia Sioi 
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa Kata ya Mbuguni
Vijana wakimshangilia Sioi kwenye mkutano wa Kata ya Mbuguni . Picha na Bashir Nkoromo
Mgombea Ubunge kwenye uchaguzi wa ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CCM,Sioi Sumari akinadi sera zake katika mkutano wa kampeni wa chama hicho uliofanyika eneo la Maroroni. 
Picha na Moses Mashalla

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jitahidi Uachane na kupambana dhidi ya Ufisadi ili ubadili rekodi ya kizazi chako!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...