WAPENDWA WATAZAMAJI WA TMTV,TUNAWAOMBA RADHI KWA MATATIZO YALIYOJITOKEZA HAPO AWALI.KWA SASA TMTV IPO FITI NA MAMBO YAMEKUWA NI MAZURI KWANI NYIMBO KIBAO MPYA ZIPO HEWANI.TAFADHALI MJULISHE NA MWEZIO UPATAPO UJUMBE HUU KWA BURUDANI ZAIDI.

BONYEZA HAPA KUINGIA KTK TV. http://www.tmtv.co.tz/

Tanzania Music Television (TMTV) ni TV ambayo unaweza kuiona Online na pia ktk DECODER . TMTV itazinduliwa hivi karibuni pindi maandalizi yatakapokuwa tayari. Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel hii bure kupitia computer yako kwa linki hii www.tmtv.co.tz.
Mauzo ya DECODER yataanza pindi decoder zitakapo kamilika.Ili watu waweze kuona TMTV kupitia TV zao za majumbani.

Vile vile ni TV ambayo inarushwa kwa teknonlojia mpya ambayo unaweza kuangalia TMTV kupitia, MOBILE ,GAMES Kama XBOX360,SMATPHONES, aina zote za mobile kama Nokia, Motorolla, Samsung, LG Zenye 3G n.k pia kupitia Android na Decoder TRU SATTELITE.

TMTV ni kwa ajili yetu sote, isitoshe ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu na computer zetu. Ikiwa kama MTV chanel.
TMTV ni music chanel ambayo inaonyesha music ya kibongo mchanganyiko 24/7.

Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa kutosha
Link www.tmtv.co.tz Downlod microsoft Silverlight itajitokeza ktk screen,kama haijafunguka yenyewe.

SHUKRAN KWA USHIRIKIANO WAKO.
TMTV
UTAWALA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...