Home
Unlabelled
ubebaji taka jijini arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo mifuko mikubwa inayotundikwa pembeni ya gari taka ni dili.
ReplyDeleteHongera kwa kununua gari la kubebea takataka lakini inabidi kulitunza
ReplyDeleteMie ningeshauri, madhali wameweza kufanikiwa kuwa na gari hilo la kubebea taka, basi ni bora wangefanya jitihada za dhati kuwa na yale ma-"BIN" yake maalum ambayo hurakhisisha zaidi kuyasukuma hadi kwenye hilo gari, halafu kuyainuwa na kuzimimina taka taka hizo inakuwa ni 'automatically' (just to press a button) kuliko hiyo shughuli pevu tena ya hao hao watu hapo kuanza kukokotana na hivyo vipolo/viroba kuvinyanyuwa na kuanza tena kuvifunguwa au kuviraruwa na kumimina hizo takataka. Madhali wameweza kufanikisha hilo la upatikanaji na wa hilo gari/magari, basi na yale ma- BIN yake wajitahidi ili zoezi hilo liwe professional.
ReplyDeletekazi ipo kwenye upangaji wa barabara za mitaa ili magari hayo ya pite....mitaa ya arusha haina mpangilio mzuri iko hovyohovyo tuuu
ReplyDeletewangepanga route zinazoeleweka kwanza kabla ya kuondoa ma dampo ya zamani,, kwasasa bei ya vyakula imepanda bado uongeze na bei ya kutupa taka mwee