Moja ya magari ya kisasa yanayobeba taka katika jiji la Arusha,huku taka nazo zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko mikubwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hiyo mifuko mikubwa inayotundikwa pembeni ya gari taka ni dili.

    ReplyDelete
  2. Hongera kwa kununua gari la kubebea takataka lakini inabidi kulitunza

    ReplyDelete
  3. Mie ningeshauri, madhali wameweza kufanikiwa kuwa na gari hilo la kubebea taka, basi ni bora wangefanya jitihada za dhati kuwa na yale ma-"BIN" yake maalum ambayo hurakhisisha zaidi kuyasukuma hadi kwenye hilo gari, halafu kuyainuwa na kuzimimina taka taka hizo inakuwa ni 'automatically' (just to press a button) kuliko hiyo shughuli pevu tena ya hao hao watu hapo kuanza kukokotana na hivyo vipolo/viroba kuvinyanyuwa na kuanza tena kuvifunguwa au kuviraruwa na kumimina hizo takataka. Madhali wameweza kufanikisha hilo la upatikanaji na wa hilo gari/magari, basi na yale ma- BIN yake wajitahidi ili zoezi hilo liwe professional.

    ReplyDelete
  4. kazi ipo kwenye upangaji wa barabara za mitaa ili magari hayo ya pite....mitaa ya arusha haina mpangilio mzuri iko hovyohovyo tuuu
    wangepanga route zinazoeleweka kwanza kabla ya kuondoa ma dampo ya zamani,, kwasasa bei ya vyakula imepanda bado uongeze na bei ya kutupa taka mwee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...