Home
Unlabelled
wanachama wa CUF pemba wahama chama na kuomba kujiunga na ADC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hamad rashid alishawaandaa watu wa kum support ktk maeneo mbalibali na kuahidiwa kupewa nyadhifa mbalimbali ktk chama kipya. Sababu ya njaa za watz vyama vinaweza kufika hata 100
ReplyDeleteTatizo la Watanzania walio wengi hawafahamu siasa ni nini,kwa hiyo wanasiasa wanaitumilia nafasi hii kuwaburuza kwa maslahi yao binafsi Seif Sharif sio mkweli na Hamad Rashid wote chungu kimoja,Ndugu zangu achaneni mambo hayo tafuteni maendeleo yenu binafsi badala yakusubiri maendeleo ya Hawa kupe wanaishi kupitia migongo yenu.
ReplyDeleteKumekucha sasa.
ReplyDelete