Wanancha wa CUF  jioni hioi wamahama chama hicho  na kuomba kujinga na ADC .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hamad rashid alishawaandaa watu wa kum support ktk maeneo mbalibali na kuahidiwa kupewa nyadhifa mbalimbali ktk chama kipya. Sababu ya njaa za watz vyama vinaweza kufika hata 100

    ReplyDelete
  2. Tatizo la Watanzania walio wengi hawafahamu siasa ni nini,kwa hiyo wanasiasa wanaitumilia nafasi hii kuwaburuza kwa maslahi yao binafsi Seif Sharif sio mkweli na Hamad Rashid wote chungu kimoja,Ndugu zangu achaneni mambo hayo tafuteni maendeleo yenu binafsi badala yakusubiri maendeleo ya Hawa kupe wanaishi kupitia migongo yenu.

    ReplyDelete
  3. Kumekucha sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...