Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini, Dk. AD Koekkoek ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimianana Balozi wa Vatican nchini, Montecillo Padilla kabla ya mazungumzo, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Vatican chini, Montecillo Padilla, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...