Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. je hiyo elfu 40 ya semina ni jumlisha na msosi au wanaprovide mapamfleti tuu?

    ReplyDelete
  2. mmh. mie napita tu hapa. sitii neno.

    ReplyDelete
  3. bora upite tu maana ukitia neno lazima litakuwa 100% umbea na majungu msiopenda mafanikio ya wenzenu.

    ReplyDelete
  4. we acha tu nilifikiri mie mwenyewe.sina la kusema

    ReplyDelete
  5. Emilian Busara ni mwezeshaji mzuri sana wa kimawazo, kimikakati na kitaaluma kuhusu nyanja za hisa na akiba. mimi nitahudhuria, alex bura dar,

    ReplyDelete
  6. Mambo ndio haya sasaaaa!

    Mpango mzima ni uwezo na kupata utajiri bila kutumia 'Sayansi Asilia'

    WANDUGU TUHUDHURIE MIPANGO YA KISASA NA YA KISAYANSI KAMA HII JUU YA KUAMSHA UWEZO WA KIPATO NA KUUPATA UTAJIRI BADALA YA KUTEGEMEA UCHAWI NA USHIRIKINA !

    ReplyDelete
  7. Mwenye hekima hufahamu alama na nyakati. Mwenye sikio na asikie na kuweka akili yake katika ufahamu

    ReplyDelete
  8. mmhhhh!!!! haya

    ReplyDelete
  9. Kwa kuwa mnaenda kufundisha jinsi ya kudhibiti pesa naomba mi nionyeshe kuwa najua kudhibiti pesa yangu kwa kuto kuja huko na kutumia elfu 40 kiingilio , mafuta elfu 20 na chakula na vinywaji 30 tayari inakaribia laki hapo bora nizidhibiti hizi, siji ng'o.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...