Adina Asia Macheka akitambaa kwenda kwa mama katika Kitchen Party kabambe ilofanyika katika ukumbi wa stesheni ya TAZARA jijini Dar
Mama akimpokea Adina
Chozi la furaha
Hata iweje, mtoto kwa mama ni mtoto tu...
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hooow nice! imenitachi jamani...hongera nimeipenda saana. best wishez
ReplyDeleteHiyo ya mama na mwana imekaa vizuri mno!Mwenyezi Mungu awaja'alie Baraka tele katika ndoa yao!
ReplyDeleteMa'ansha'Allah Bint ni mzuri,,kwa jina la kizamani ni KIPUSA!
Ahlam,,,UK
MAMA HUYU AMETOA MACHOZI KWA HISIA KALI KUTOKA ROHONI!INAHUZUNISHA KUMTOA MWANAE.AMWOMBEE TU KWA MUNGU KWANI HATUA HIYO LAZIMA AIPITIE.HONGERA SANA
ReplyDelete