Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Africa tumelogwa. Alietuloga amekufa. Yaani hata vitu vidogo we cant solve. Nimesema Africa na sio Tanzania kwani tembelea nchi nyingi za Africa utakuta haya haya.

    ReplyDelete
  2. Afadhali mzungu amesema maana waafrika hatuoni...unbelievable; nini muhimu kwetu!

    ReplyDelete
  3. Africa tumelogwa. Alietuloga amekufa. duh!!! hii kiboko tumekwisha

    ReplyDelete
  4. jamani sisi watanzania tuna matatizo gani yani mpaka mzungu anaamua kutumbua jipu watanzania tupo tuna yaona yanaendelea kila siku miaka andi miaka inauma sana,mzungu anaongea kwa uchungu,madakitari waligoma ili kushinikiza selika kubolesha mazingila yakazi wapo walio wabeza kwa madai yao sasa ha yako azalani.mungu ibaliki tanzania viongozi wetu waziduke inauma.

    ReplyDelete
  5. Tatizo la Tanzania viongozi wetu hawajali maisha ya raia na kumuona kama akipoteza maisha hana thamani wanajali nafsi zao. Utaona bohari inanunua kwa mabilioni ya mapesa dawa zinayozisha muda muda wake baada ya miezi 6 kwa bei ya kutupa rahisi lakini inaandika katika hesabu zake kwa bei ya kawaida ambayo ni kubwa kabisa tofauti ya bei inatiwa mfukoni mwa wakubwa, baada ya miezi sita dawa zinachomwa moto zimeisha muda wake huku watanzania tunakosa dawa hadi Gozi. Kinachotakiwa sasa ni adhabu kama za china yeyote ataeonekana anahujumu uchumi au kiongozi yeyote anapokea rushwa katika manunuzi ya serikali adhabu yake ni risasi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...