Home
Unlabelled
Bohari Kuu ya Madawa (MSD) inawaangusha Watanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Africa tumelogwa. Alietuloga amekufa. Yaani hata vitu vidogo we cant solve. Nimesema Africa na sio Tanzania kwani tembelea nchi nyingi za Africa utakuta haya haya.
ReplyDeleteAfadhali mzungu amesema maana waafrika hatuoni...unbelievable; nini muhimu kwetu!
ReplyDeleteAfrica tumelogwa. Alietuloga amekufa. duh!!! hii kiboko tumekwisha
ReplyDeletejamani sisi watanzania tuna matatizo gani yani mpaka mzungu anaamua kutumbua jipu watanzania tupo tuna yaona yanaendelea kila siku miaka andi miaka inauma sana,mzungu anaongea kwa uchungu,madakitari waligoma ili kushinikiza selika kubolesha mazingila yakazi wapo walio wabeza kwa madai yao sasa ha yako azalani.mungu ibaliki tanzania viongozi wetu waziduke inauma.
ReplyDeleteTatizo la Tanzania viongozi wetu hawajali maisha ya raia na kumuona kama akipoteza maisha hana thamani wanajali nafsi zao. Utaona bohari inanunua kwa mabilioni ya mapesa dawa zinayozisha muda muda wake baada ya miezi 6 kwa bei ya kutupa rahisi lakini inaandika katika hesabu zake kwa bei ya kawaida ambayo ni kubwa kabisa tofauti ya bei inatiwa mfukoni mwa wakubwa, baada ya miezi sita dawa zinachomwa moto zimeisha muda wake huku watanzania tunakosa dawa hadi Gozi. Kinachotakiwa sasa ni adhabu kama za china yeyote ataeonekana anahujumu uchumi au kiongozi yeyote anapokea rushwa katika manunuzi ya serikali adhabu yake ni risasi.
ReplyDelete