Kocha wa mchezo wa Masumbwi Abdalah Ilamba 'Komandoo' akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo bondia Francis Cheka jijini Dar es salaam leo,Chaka anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika jumamosi hii katika ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa bingwa wa Mkanda wa I.B.F na atanyakua Zawadi ya gari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mazoezi yenyewe wanayafanyia gesti, kazi tunayo mwanzo mwisho, si wangeenda uwanjani tu shule ya mwalimu Nyerere si karibu na hiyo gesti

    ReplyDelete
  2. HEE!!! nimeona hiyo mdau....nomaaa kwani hakuna gym mpaka bondia aende kujifua guest house?????huku tunapoelekea ni wapi sasa? halafu malalamiko eti kiwango cha michezo kinashuka!! kwa nini kisishuke kama mazoezi ya kujiandaa na pambano yanafanyika guest house???.... yarabi toba!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...