Kaka foleni hii imesababishwa na ajali iliyotokea karibu na DARAJA la Wami katika njia kuu ya Dar-Arusha leo  mida ya SAA 12:45 Kati ya Lori na GARI ndogo - MDAU EMMANUEL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tangu lini sisi tunaendesha right hand side? Mbona sielewi. Au nadhani namba ya macho yangu imepanda! ALi.

    ReplyDelete
  2. ndugu siyo kweli Wami, ilikuwa eneo liko karibia na Segera kwenye mashamba ya Katani, wami hakuna katani hata pichani kushoto kuna katani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...