Ibrahimu Maokola kulia akipambana na Saidi Mbelwa Maokola alishinda kwa Point.Picha na www.superdboxingcoach,blwww.superdboxingcoach,blogspot.comogspot.com

Baadhi ya Marefarii kutoka Nnje ya nchi wakisubili kuchezasha mpambano wa ubingwa wa IBF Arika kati ya Mada Maugo na Francis Cheka jana.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Baadhi ya mashabiki waliokuwa wamekaa katika VIP wakiangalia mpambano
Mada maugo kushoto na Francis Cheka wakioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi www.superdboxingcoach,blogspot.com

Cheka akipiga ngumi bila mafanikio uku mada akiludi nyuma kujiami.www.superdboxingcoach,blogspot.com
Meya wa Manspaa ya Ilala Jery Slaa akimkabidhi funguo ya gari bondia Francis Cheka baada ya kuibuka na ubingwa wa k.o raundi ya 6 jana. Picha na Super D

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. WAAFRICA BWANA HAWANA KILI KWELI, TATIZO SIO UMASKINI TATIZO NI AKILI, SASA KAMA HAPO KWENYE UWANJA WA NGUMI JAMAA WAMEKAA CHINI, USINIAMBIE HAMNA VITI KWA SABABU YA UMASKINI...HUU NI UJINJA NA KUTO KUWA ORGANISED..

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu, unalalamika watu wamekaa chini wakati mwandishi anasema jamaa wako VIP?!. Sasa ukioneshwa walio huko kwa 'kajamba nani' sijui utatoa maoni gani iwapo VIP tu wako chini.

    Waandishi nanyi mjitahidi kidogo kwenye Kiswahili; sasa kuandika 'uku akiludi...'ndio Kiswahili gani hicho?

    Mwamgongo,
    Mwenyeji wa Tanga.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2012

    Hahahaha niacheni nicheke!

    Ukisikia Bongo Tambarare ndio hapa sasa,,,(Daraja la kwanza) huko VIP hali ni hii wamekaa chini?

    Sasa huko 'kajamba nani' naona itakuwa Watazamaji Mashabiki wananing'inia kichwa chini miguu juu kama Popo !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...