Kesi ya kuhusika na mauaji ya Steven Charles Kanumba inayomkabili Elizabeth Michael “Lulu”(pichani chini) inatarajiwa kutajwa tena hapo kesho tarehe 23/04/2012 jijini Dar-es-salaam baada ya kuwa imeshatajwa mara moja na upande wa mashitaka kudai kuendelea na uchunguzi na hivyo mtuhumiwa Lulu kuendelea kusota rumande.
Home
Unlabelled
kesi ya lulu kutajwa tena kesho mahakama ya kisutu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
LULU MAJUTO NI MJUKUU,MUNGU AKIKOMBOA KWENYE HII KESI,ACHANA NA MAMBO ULEVI NA NGONO NENDA SHULE,AU UJE HUKU ULAYA MAANA SIKU ZOTE UJUE MAISHA YAKO YAPO HATARINI.MDAU NEW HAM LONDON
ReplyDeleteKESHO ATATOLEWA,AENDE ZAKE KUNYWA SODA URAIANI,NI INNOCENT HAKA KATOTO KWA MUJIBU WA JOPO LA MADOKTA,kwani hiyo hali inaweza ikamtokea mtu hata bila ya kuguswa na mtu au kitu,it knowed as BRAIN CONCUSSION.
ReplyDeleteNakuombea mdogo wangu Mwenyezi MUNGU akusaidie, haki itendeke!
ReplyDelete''PRESUMPTION OF INNOCENCE'' ndio nguzo ya Justice system, ''Everyone is Innocent untill proven Guilty by the court of Law''
ReplyDeletekila mtu yuko innocent hadi pale tu mahakama ya kisheria itakapomkuta mtu ana hatia. Ndio maana duniani tuna utaratibu wa kisheria na mahakama.
Kwahiyo tuache kuhukumu tena ni dhambi. Tuache mahakama ifanye kazi yake kisheria.
Na pia Dhamana/Bail ni haki ya kila mshukiwa hivyo kesho ukimuona Lulu mtaani wala si kitu cha ajabu ana haki kupewa dhamana kisheria.
ZITTO KABWE NAPENDA KUTOA USHAURI KAMA NASARI KAKAMATA HALIMA MDEE KWA NINI WEWE USIKAMATE LULU? KATOTO INNOCENT CHUKUA JUMLA JUMLA. ACHANA NA MAMBO YA KANUNI ZA BUNGE HAKA KATOTO LULU MICHAEL ELIZABETH NI BORA KULIKO HII ISSUE YA MAWAZIRI HAWANA MPANGO. NAKUPA TU USHAURI NILIKUTUMIA KWENYE FACEBOOK UKACHEKA TU NA KUSEMA MIMI MTUNDU LAKINI NILIKUWA SERIOUS NDIYO MAANA NIMEWEKA TENA HUMU KWENYE MICHUZI GLOBO YA JAMII. WADAU SEMENI MNAONAJE?
ReplyDeleteLulu, hata kama mahakama itakuachia huru, ukae ukijua kuwa historia yako na tukio hili itakufuatilia na haitafutika kamwe kwenye macho na masikio ya Watanzania wengi.
ReplyDelete(i) Unastahili ukae ndani (jela) kwanza kwa usalama wako kwani jamii ilishakuhukumu mpaka watoto wenzio kama kweli wewe ni mtoto.
(ii)Kuna watoto wengi huko magerezani ambao nao walitenda makosa bila kukusudia au ilitokea kwa bahati mbaya na sasa wako rumande au magerezani; nao pia wanastahili kusamehewa na watoke magerezani kama wewe (Lulu) lakini bado hawajapata bahati hiyo; iweje wewe Lulu?
Nawasihi vijana wengine ya kuwa Usuper star na ulimbukeni wa maisha ndiyo unaowapelekea kuishia huku.
Usuper star ni mfano wa kuigwa kwenye jamii hii yetu isiyo na ajira, heshimu kazi yako iliupate kuheshimiwa na kazi yako ipate kuuzika ndani na nje ya Tanzania. Nakamwe kuwa super star haimaanishi ndio kwenda na wakati mlevi, malaya,n.k.
Naomba Mungu ilinde nchi yetu na watoto wa kizazi hiki.
pamoja na tambia alizokuwa akionyesha huyu mtoto ambazo hazipendezi kwa jamii, Lakini haki itendeke. I dont think kama alikuwa na nia ya kufanya hivo. So please sisi ni binadamu na inaweza kutokea kwa mtu yoyote yule hata kama sio maarufu. Hivyo apewe fundisho tu la jukirekebisha then aachiwe huru. Hukumu kubwa tumwachie Mwenyezi Mungu yeye ndo ajuaye yote yatendekayo hapa Duniani.
ReplyDeleteyour too beautiful n young to stay in jail.....!
ReplyDeletehop things wll b ok,my prayers to u.
mungu atakuepushia na hili balaa ila mwanangu ulizidi mno mtoto mdogo anataka mambo makubwa sijui hawa wazazi wako walikuwa wanafaidika na nini kutotka kwako walikuwa wanaona uwoza wote unaofanya lakini walikuwa wamekaa kimya na kuona sifa kwa kuandikwa magazeti na kuonekana kwenye vyombo vya habari yaani wewe ulikuwa si mtoto ila ni balaa sasa umeiyona dunia mama uliyokuwa unayakimbilia ndio hayo sijui jamii itakupowekea je ukitoka uraiani mimi najua hukumu yako iko kwa wananchi pole sana
ReplyDeleteSi kila shitaka linatolewa dhamana tukumbuke hiloo. Na pia wakati mwingine mtu akiwekwa rumande si kwamba hajatendewa haki bali ni kwa usalama wake pia. Yawezekana huko rumande ndo kunamfaa zaidi kwa sasa kuliko mtaani.
ReplyDeleteHuyu si mtoto ni mtu mzima na hata sheria ya ndoa inamruhusu tu kuolewa kwani ni miaka 15 akikubaliwa na wazazi na mamake alishasema alikuwa anamtambua marehemu kama mwanae tu yawezekana walishaweka mambo sawa.
Kuachiliwa si lazima iwe kwasababu ni mtoto bali kulingana na ushahidi utakaotolewa na kuona kwamba yaliyotokea ni accident tu.
Kila lakheri lulu, we learn through mistakes, and this lesson might open doors for you to be an ambassador for the youths and bring changes to the country and the world at large. Ikumbukwe Mungu huinua vinyonge.
Mahakama zetu tunaziomba zitende HAKI!!! Kwani imekuwa ni desturi na kawaida kwao (Mahakama) kesi za watu maarufu itapangwa kusikilizwa tarehe za haraka au mfululizo, wakati kesi za watuhumiwa wengine zinachukua muda mrefu utashangaa kesi yaweza kutajwa Januari itasikilizwa tena Aprili hata Juni.
ReplyDeleteWatu na watoto wote magerezani wanahaki sawa, TUWAOMBEE MSAMAHA KWA RAIS NAO WATOKE KWENYE HIVYO VIFUNGO, TUANZE UPYAAAAAA....
DHAMBI YA UBAGUZI NI DHAMBI MBAYA NI SAWA NA KULA NYAMA YA MTU.... ISIPOKEMEWA INAZIDI KULITAFUNA TAIFA HILI VIZAZI HATA VIZAZI!!!
Pole Lulu, Tumwachie mungu ampe ujasiri wa kubadili tabia , kilichotokea ni bahati mbaya tu na wala siyo makusudi inaweza tokea kwa yeyote, tuache mahakama ifuate mkondo.
ReplyDeleteNo body knows what went wrong lets live it to the justice if she is innocent or not we'll find out it wont bring Kanumba back anyway let's live it to the justice and only God knows .
ReplyDeleteWe anonimous hapo juu vipi? Kwani mtu akiwa young and beautiful ndio hafai kukaa jela?? OVYOOOOO..
ReplyDeletekilichopo sio bahati mbaya hatuna hakika kama ameuwa, ikithibitika sheria itachukuwa mkondo wake.
ReplyDeleteTunakuombea haki itendeke. Ila wanaosema ni mtoto kwa kigezo cha jopo la madaktari mnakosea kwani huo sio lazima ukubaliwe na mahakama. Ni vema tukakumbuka kuwa kuna maelezo kuwa ana cheti cha kuzaliwa hicho ndio kitu muhimu ila kisiwe vile vya kubumba mtaa maana anaweza kuzalisha kitu kingine kisichokuwa cha lazima.
ReplyDeleteZaidi ya hapo kwenye mtandao amewahi kujieleza mwenyewe kuwa amefikisha miaka 18 anaweza kusaini mikataba yake mwenyewe bila mtu mwingine na kuwa tayari anajenga nyumba kimara.Taarifa hizi zipo wazi. Zaidi ya hapo kama wazazi wapo nao wanaweza kueleza vizuri juu ya umri maana inawezekana kwenye mtandao alijisemea tu.
La muhimu kama alivyosema Mdee kuwa sheria ichukue mkondo wake. Suala la mauaji ya kukusudia madhara yake kwa mtu huyo ni kukosa dhamana lakini sio kigezo cha mahakama kutoa adhabu ya aina hiyo kama kuna ushahidii wa kupigana kati mtuhumiwa na marehemu.
Anonymous said
jaman mwacheni mtoto wa wa2 sio kila siku kwenyenye magazt,fb,blog,ni kwann pimia kama angekuwa mdogo wako au dada sawa inauma achen kushabikia vt visivyo na maana
ReplyDelete