Mabondia wa Kambi ya Ilala wakijifua kwa ajili ya mashindano ya kumi bora ya mchezo wa ngumi yatakayofanyika May 4 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Dar es salaam.
Mabondia wa Kambi ya Ilala wakifanya Mazoezi ya kuruka Kichura chara kwa ajili ya kutafuta stamina na nguvu.Mazoezi hayo yaliyokua yakitolewa na Kocha wa Kimataifa wa Mchazo wa Ngumi. Rajabu Mhamila 'Super D' (hayupo pichani) kwa ajili ya kujiaandaa na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika May 4 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Dar es salaam.
Mikwala tu hapo. Hakuna kitu.
ReplyDeletehawa ndo mabondia?mnakyesa mkyesso......
ReplyDelete