Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Huu ndio Wazimu wa Kitekinolojia,

    Nyumba ya matope na mabati ya kuunga vipande vipande antena ya nini?

    Si bora hata asiwe na simu ya mkononi achilia mbali huo ungo ili awe na nyumba angalau yenye hadhi!

    ReplyDelete
  2. Hao wenye Mpango wa Digitali wangesisitiza hadhi ya Makazi kwanza kabla ya Mradi wao huo.

    ReplyDelete
  3. Hii safi kabisa!!! Maendeleo Oyeeee

    ReplyDelete
  4. Ahhh nyumba yenyewe hata kwa kupigwa ngumi moja inakwenda chini sasa antena ktk paa la nyumba ya nini?

    ReplyDelete
  5. UN-HABITAT mpo wapi?

    Binaadam ktk uso wa ardhi anakaa ktk nyumba mabayo ni sawa na mtu yupo nje na amejifunika viganja vya mikono !

    ReplyDelete
  6. Mahala penye makazi kama haya Magereza yanafurika kwa vile ni bora uishi kifungoni angalau utalala mahala pa salama na hadhi badala ya kuwa huru !

    ReplyDelete
  7. Wote mnahitaji Miwani Hilo Dishi lipo Nyumba ya pili kule.

    ReplyDelete
  8. Including aliyeleta mada...mnahitaji huduma ya macho...!!!

    ReplyDelete
  9. Mie nawashangaa kweli mijitu mingine! dishi liko nyumba nyingine yenyewe yanapiga makelele!

    ReplyDelete
  10. Duhh hata kama picha imepigwa kiudaku na kuwa Dishi lipo nyumba ya pili, lakini haiingii akilini wewe uweke dishi halafu Jirani yako anaishi nyumba ya Udongo !

    Huko si ndio kuchoreka kwenyewe?

    Yaani hata kumsaidia aweze kujenga hata kwa matofali ya bei rahisi ya vipande vipande umeshindwa?

    ReplyDelete
  11. kali ya mwaka, nimeipenda!

    ReplyDelete
  12. Jamani sio mpaka uwe wewe ni Father Christmass ndio utoe!

    Ni jambo la busara sana tukajitahidi kuondoa tofauti za hali ya maisha ndani ya jamii zetu sisi wenyewe kwanza kabla ya kuziachia Mamlaka za Nchi na Mashirikisho ya Dunia.

    Hali zingine unaangalia ubinaadamu na kanuni za ki Imani, jirani yako ana maisha duni anaishi banda la udongo, na ameezeka kwa mabati ya mapende mapande kweli wewe utakuwa upo mustarehe unaweka ungo juu ya paa la nyumba na una sechi chaneli mbali mbali za runinga nyumbani kwako?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...