Mercedes Benz: Year 2002/2003, 
                                  Model: E 220 Diesel, Millage: 37,000, 
                                 Full Duty Paid, Asking Price: USD 8,200 
                                                     Contact: +255 788 994584

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ufisadi mtupu. Gari ya 2002 au 2003? Kwa $8200, bora ninunue gari jipya.

    ReplyDelete
  2. unajua bei ya moya au unasema tu

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza, TZ hakutengenezwi gari, magari watu wananunua ughaibuni, kuna gharama za kusafirisha, ushuru, vat, ndio utapata bei ya hiyo gari. Sasa hilo gari lako jipya kaa nalo huko ughaibuni!!

    ReplyDelete
  4. hujui bei za magari wewe nenda mtandaoni kwa bei hiyo hata FOB hupati, nadhani muuzaji ana matatizo

    ReplyDelete
  5. mimi kwa bei ilivyorahisi nnahata wasi wasi kuwa gari inamatatizo .....hata huko nje ya nchi hupati bei hii

    ReplyDelete
  6. namba yenyewe mbona haipatikani?

    ReplyDelete
  7. muuzaji hana matatizo isipokuwa gari ni bovu tu. sijui chesis ama gia box

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...