Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuchezesha Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Milioni 10 wa promosheni ya M-PESA,ambapo Mkazi wa Kitangiri Mkoani Mwanza Bw.Revocatus Mkama amejishindia fedha hizo,Jumla ya shilingi Milioni 300 zimetolewa kwa washindi wa promosheni hiyo tangia ianze kuchezeshwa,Kulia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma.
Mtaalamu wa Mawasiliano ya Teknologia wa Vodacom Tanzania Tulisindo Rashid kushoto,akifuatilia jinsi komputa inavyochezesha nambari za washiriki wa Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Mlioni 10 wa promosheni ya M-PESA, ambapo Mkazi wa Kitangiri Mkoani Mwanza Bw.Revocatus Mkama amejishindia fedha hizo,wanaoshuhudia wa pili toka kushoto ni Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid,Meneja Mawahusiano Matina Nkurlu, Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma.
Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akionesha nambari ya Mshindi wa Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Milioni 10 wa promosheni ya M-PESA,ambapo Mkazi wa Kitangiri Mkoani Mwanza Bw.Revocatus Mkama amejishindia fedha hizo,wanaoshuhudia kushoto ni Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid,kulia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...